1 Chronicles 3:16-18


16 aWalioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni:
Yekonia mwanawe,
na Sedekia.

Ukoo Wa Kifalme Baada Ya Uhamisho


17 bHawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka:
Shealtieli mwanawe,
18 cMalkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia.
Copyright information for SwhKC